Za ndani kabisa Waziri William ndiye kiongozi pekee ambaye hakuwahi kupishana na JPM.
Ndiye Waziri pekee aliyekuwa na uwezo wa kumshusha munkali JPM duru 'zinatabanaisha.'
Wakati fulani inasemekana baadhi ya mawaziri wenzake walipokuwa na mgogoro wa wazi na JPM walikuwa wanamfuata William...