Ndio, ni dhaifu kuliko Salva Kiir.
Sasa anaomba Mungu Raila Odinga asijitikise kisiasa, akifanya hivyo jumba la ikulu ya Nairobi litapata nyufa na kubomoka.
Ni kama ng'ombe aliyekatika mkia kwa kuwa hana Rigathi Gachagua, anaonekana muda mwingi ana wasiwasi, mawazo, amekosa uimara kama Rais...
Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu nchini Kenya imetoa ripoti mpya ambayo inaonesha kuongezeka kwa idadi ya matukio ya utekaji nchini humo dhidi ya wakosoaji wa serikali
Kwenye ripoti yao ya hivi karibuni imeonesha kuwa kumekuwa na matukio ya utekaji takrbani 82 tangu maandamano dhidi ya...
Alifuta Finance Bill last week then akasaini sheria mpya ya IEBC. Still Gen Z hawakuridhika.
Leo amefuta cabinet yote ya Kenya na kumbakiza DP na CS. Ningekuwa mshauri wa William Rutto ningemuambia asome Katiba na aangalie Ibara/kifungu kinaymchomruhusu kujiuzulu na AKABIDHI kwa mamlaka...
Inaripotiwa kuwa nyumba ya mwanae na Uhuru Kenyatta imevamiwa na watu wa usalama huko Karen!
Majuzi iliripotiwa kuwa serikali imemuondolea walinzi mama yake na Uhuru ambaye ni mke wa Rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta.
Sikudhani Ruto angefanya mambo kama haya. Nilidhani ni mstaarabu. Kumbe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.