Inaripotiwa kuwa nyumba ya mwanae na Uhuru Kenyatta imevamiwa na watu wa usalama huko Karen!
Majuzi iliripotiwa kuwa serikali imemuondolea walinzi mama yake na Uhuru ambaye ni mke wa Rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta.
Sikudhani Ruto angefanya mambo kama haya. Nilidhani ni mstaarabu. Kumbe...