Habari za jioni wanaJF!
Mimi ni muumini wa kumsikiliza kiongozi katika mapambano yoyote.
Upo muda wa taharuki,kutoaminiana, kuchallange, kujadili na hatimaye kuchukua upande na uelekeo.
Mwaka 2020 tulikuwa na Jemedari wa vita dhidi ya covid 19 na alituvusha salama with acceptable number of...
Nachokiona ni mparaganyiko wa viongozi.
Leo atatoa tamko Mkuu wa Mkoa kesho Mkuu wa Wilaya.
Leo utasikia ya Dodoma, kesho Tanga, kesho kutwa Kiteto. Mimi nafikiri mnatuchosha wananchi.
Inaonekana viongozi mnaogopa Covid kuliko sisi wananchi.
Tunaomba mjipange then mje na tamko moja...
Kuna watu wanapenda sana sifa kupitia wenzao sasa nasema rasmi hapa wazi kabisa sitakubali kuchomwa sindano ng'o (maana mmesema ni hiari)
Na hata kama mkibadili gia angani (na kufanya ni lazima kwa makundi fulani- ambapo kivyovyote walimu wataingia) basi nitakuwa radhi kuacha kazi nikafanye...
Utakumbuka wakati ule ametangazwa mgonjwa wa kwanza wa COVID-19 Tanzania, watu wengi walianza kuchukua tahadhari. Lakini kirusi alishaingia Tanzania. Watu baadhi wakaumwa. Kwakuwa tahadhari ilikuwa juu, idadi ya waliokuwa wanaumwa ikaanza kupungua. Virusi hawakuwa wameisha! Walikuwa wachache. Na...
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye athibitisha mkoa wake kuwa na wagonjwa 12 wa CoVID-19, RC Andengenye amesema kuwa miongoni mwao 6 wanatibiwa hospitalini na wengine wamejitenga nyumbani.
====
Mkoa wa Kigoma umeripotiwa kuwa na wagonjwa 12 wa Corona ambapo wengine wamejitenga...
Madaktari Bingwa wa magonjwa ya mfumo wa upumuaji wamesema kirusi cha wimbi la tatu la ugonjwa wa Covid-19, kimekuja na mbinu tofauti na za kificho kutokana na dalili zake kuu nne.
Dalili hizo zimetajwa kuwa ni:
Mate kukauka mdomoni,
Kupata vipele mikononi na miguuni,
Kuharisha na
Damu kuganda...
Kwa sasa wizara, mahospitali TVs na radio kelele ni kujikinga au kuchukua tahadhari za wimbi la tatu la Covid-19.
Lakini tahadhari hizi sioni kama zina maana yeyote kwa mwananchi sababu watu wanaendelea na maisha kama kawaida inasaidia nini? Hutoi takwimu ili watu wajue kuwa mdudu kashaingia...
Wakati Serikali ikitoa tahadhari ya viashiria vya wimbi la tatu la ugonjwa wa Covid-19, imeagiza utamaduni wa uvaaji barakoa, unawaji mikono na matumizi ya vitakasa mikono urudishwe katika maeneo yote.
Waganga wakuu wa mikoa, wilaya na viongozi wengine wa sekta za umma na binafsi wamehimizwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.