wimbi la utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF): Tumesikitishwa na kifo cha Ali Kibao. Rais aunde Tume ya Majaji kuchunguza wimbi la utekaji na mauaji

    Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza kusikitishwa na taarifa za kifo cha Kada wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) na Mjumbe wa Sekretarieti, Ndugu Mohamed Ali Kibao. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari leo, Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile amewapa pole familia ya ndugu...
  2. mfate42

    Maadui zetu watatumia mwanya huu wa wimbi la utekaji na mauaji kutuangamiza

    Ndugu zangu tuwe makini Sana na wale tuliotofautiana kwenye biashara, mahusiano na mambo mengine ya kugombea madaraka maana watu hao watatumia upepo huo kutuangamiza na wakijua lazima watu wataona ni mambo ya kisiasa tu hivyo uchunguzi haotowakamata. Mungu ameniagiza niandike haya. Take care...
  3. G

    Sijawahi kumsikia Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wakizungumzia wimbi la utekaji

    Utekaji ni janga kubwa linaloikumba taifa kwa sasa. Ajabu viongozi hawa waandamizi wazunguka na kuhutubia bila kugusia hata kidogo. Je huu ni dalili kuwa hawaguswi na mateso wanayopitia ndugu na jamaa za waliotekwa? Kabla ya wimbi hili kuibuka, Bashite alitoweka kipindi kirefu bila kujulikana...
  4. Yesu Anakuja

    Kuhusu suala la watoto kupotea, kuna mtu anatakiwa kuwajika

    1. Waziri 2. IGP 3. DG wa Teeth 4. Sa100 mwenyewe 5......n.k hivi kweli wameshindwa kukamata mzizi wa hiki kitu hadi wananchi wachukue sheria mkononi? samia ameona yule mzanzibari mwenzie mambo ya ndani anatosha sana kwenye mazingira kama haya kiasi kwamba nape na makamba ndio walishindwa kazi...
  5. GENTAMYCINE

    Ina maana Rais hujui kweli kama wanaofanya ukatili uko nao ndani ya Chama na Serikali yako au Unazuga tu?

    “…watu wanauawa hovyo huko…waambieni wanasiasa kwamba vyeo havipatikani kwa kuua watu, kwa kunyofoa viungo…” – Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuguswa na wimbi la utekaji na mauaji ya watoto linalodaiwa kuendelea maeneo mbalimbali hapa nchini…akiwaomba machifu kote nchini kusimama imara na...
Back
Top Bottom