windhoek

  1. MAKANGEMBUZI

    Ni mara kumi unywe local beer kuliko hizi imported beer kama Savanna, Heineken, Windhoek n.k

    Wazee mambo vipi Mnyunguli hapa. Aisee hali ni mbaya ubebari ni balaa watu wanajali pesa tu takwimu zinaonesha vijana na magonjwa ya figo ni kama chupi na sehemu za siri...hii inachangiwa na unywaji pombe.Nawaelewa sana wanaoamua kutumia beer za nje wakiamini kwamba zina usalama mkubwa na...
  2. A

    Nangolo Mbumba is sworn in as interim president following the death of Hage Geingob, in Windhoek, Namibia, February 4 2024. Vows to tackle corruption

    Mbumba’s proposal is good for Namibia’s economy Nangolo Mbumba is sworn in as interim president following the death of Hage Geingob, in Windhoek, Namibia, February 4 2024. Image: SHARON KAVHU/ REUTERS There is a new Sheriff in Namibia. Like a new broom, he wants to sweep clean. The new...
  3. Yesu Anakuja

    Dodoma yaweza kuwa kama Windhoek

    Kwa wale waliobahatika kufika Windhoek, kuanzia ukame, tambarare na hali ya hewa vinalingana kabisa na Dodoma, hadi ukavuukavu. Nilipita Dodoma last week kuna maeneo kama unaelekea udom, hazina hadi kule makao makuu ya mahakama, kuna vigorofa vingi vinaibuka na kuna uwezekano pakafanana au...
  4. M

    Serikali piteni kwenye mabaa chunguzeni bia za windhoek. WATATUUA JAMANI

    Najua nitaonekana mlevi lakini kuna uwezekano mkubwa sana hizi bia kuna viwanda vya uchochoroni vinaendelea. Ukizingatia wamiliki wengi ni wachaga ambao nao pesa ni zaidi ya uhai wa mtu. Hivyo ni rahisi wakafanya mchongo na wachina kutengeneza bia feki. Haiwezekana watu watano wanywe bia nane...
  5. Pang Fung Mi

    Wahudumu wa Bar (Barmaids) Arusha wamezidi kuwa Omba Omba na wanapenda kunywa Heineken na Windhoek beer

    Wasalaam JF, Arusha ni kiboko Kila bar ukienda wahudumu hawa Barmaids ni Omba Omba wa hatari, hawa mademu wanaringia matako, kuvaa vimini skirts uniform wanadhani ndio silaha kuu, ukitumia uungwana tu wa kucheka na au ukampa ofa siku moja basi anataka akufanye danga mshika pembe siku zote hadi...
  6. Yesu Anakuja

    Boresha Dodoma iwe kama WindHoek

    Nimeona tayari ikulu kama imeshaisha Dodoma. Nawapongeza Dodoma city kwa mpango miji walioufanya, aina za nyumba, kuna maeneo ukienda utakuta nyumba zote rangi moja. Tunaomba sasa Mh. Rais aboreshe zile barabara, sio viwe vibarabara vidogovidogo kama vya miji ya kibongo, tunao uwezo kuifanya...
  7. C

    Windhoek Lager zipo aina mbili?

    Mimi ni mnywaji wa siku nyingi wa Windhoek Lager, lakini wiki mbili tatu zilizopita nimegundua kuna aina mbili tofauti za Windhoek Lager kwa maana ya ladha tofauti ambazo zinaendana na labels tofauti kwenye chupa. Naomba kufahamishwa sababu ya uwepo wa aina mbili za Windhoek lager sokoni...
  8. beth

    #COVID19 COVID-19: Mji Mkuu wa Namibia, Windhoek wawekwa Lockdown kwa wiki mbili

    Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Windhoek umewekwa Lockdown kwa wiki 2 ambapo wananchi hawatoruhusiwa kuingia au kutoka kufuatia ongezeko la maambukizi na vifo vya COVID19 Mbali na hayo, mauzo ya pombe nayo yamedhibitiwa kuanzia Jumatatu hadi Jumamosi ambapo zitauzwa kwa mfumo wa 'take-away'. Viongozi...
Back
Top Bottom