Wingas GmbH is a gas distribution company located in Kassel, Germany. It is a subsidiary of Gazprom, which held its shares through W&G Beteilligungs-GmbH & Co. KG.
Habari wataalam!.
Kama title inavyojieleza hapo juu, nimepata wazo la app ambayo itasaidia wafanyabiashara wa mkoa na dar ata nje ya TZ kwa ujumla kununua bidhaa kwenye soko la kariakoo bila kutapeliwa na winga . Hii itasaidia wafanyabiashara wengi kupunguza gharama ya kuja Dar kununua bidhaa...
Niwape hii.
Aliyewahi kuvaa Jersey number 6 Yanga anarudi kuivaa tena msimu ujao. ✅💯
Walid na mchumba wa Hamissa wanaondoka✅💯
Winger wa Central African Republic aliye Chamazi kama Azam hawata ongeza dau kubwa naye atakuwa ni CITIZEN✅💯
Source: TRUST ME BRO / NINA WATU 😁
Nimekutana na Winga karikoo anatema ung'eng'e umenyooka. Baada ya kuzoeana nae. Akanipatia CV yake nimsaidie kusaka kazi.
Kucheki CV ya winga huyo wa karikoo naona primary kasoma St marys, O level kasoma Shaban robert, A level kasoma Feza. Chuo pekee ndio kasoma chuo cha kayumba Udsm...
Na Mwalim M. A, Mkombozi (Kalaga baho)
Kanusho : Hakuna mgogoro wowote wa kimaslahi utakaojiyokeza kwenye darasa hili endelevu. Ushauri utatolewa bure kabisa na hakuna nia ya moja kwa moja ya kuumiza hisia ya mtu.
Asee niaje? Wazee mpo??
Ni vyema kwa kias chake kuendelea kumwaga nondo na...
Ayoub anaanza, kuliko Kapombe, kushoto Tshabalala, Inonga na Che Malone, viungo ni Sadio Kanoute na Ngoma, kulia na kushoto ni Onana na Kramo, katikati pale nawaweka Chama na Saido Ntibanzokiza.
Mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa naiona Semi final
Hatimaye Club ya Yanga imefanikisha kunasa saini ya mchezaji kinda kutoka Afrika Kusini anayeitwa Mahlatsi Makudubela (33) almaarufu kama Skudu.
Mchezaji huyo kinda (33) alikuwa anakipiga kwenye timu ya Marumo Gallants ya Afrika kusini iliyofika nusu fainali kombe la shirikisho Africa.
Kwa...
Naombeni ushauri jinsi ya kuwa winga Kariakoo, sijawahi kufanya hii mishe na sijui pa kuanzia nifanyaje ili niweze kufanya.
Wiki ijayo naingia Dar kutoka Singida na ni mara yangu ya kwanza kufika Dar 🙏.
Picha: Vinicius Junior
Picha: Ducapel Moloko
Turejee kwa Hawa wachezaji wawili ambao mmoja anatokea Kwa mabingwa wa ulaya Real Madrid na mwingine anatokea Kwa bingwa wa TAnzania Young African.
Hawa wachezaji wote ni mawinga hatari na Wanambio sana, wanafunga magoli, vijana wadigo na sio...
Y
YANGA imeeleza sababu ya winga wake Bernard Morrison 'BM33' kutotumika kwenye mchezo wa kwanza robo fainali Kombe la Shirikisho dhidi ya Rivers United uliopigwa kwenye Uwanja wa Godswill Akpabi nchini Nigeria.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Yanga kupitia kwa Kocha msaidizi Cedric Kaze...
Natafuta kuwa winga wa simu mpya, kama unamiliki duka la kuuza simu mpya aina zote naomba kazi dukani kwako.
Sitaki uniajiri, ila utaniuzia simu kwa bei ya jumla ili na mimi nipate chochote. Mimi nitapambana kutafuta wateja ninakojua mimi. Simu zako ziwe bei kitonga kweli ili zitoke haraka...
Kuna watu wanadiriki kumfananisha Mayele na Jenerali Phiri, Mayele ni mshambuliaji na Phiri ni winga.
Phiri kupambana na Mayele kwa idadi ya goli ni heshima sana kwake.
Huyu jamaa alisajiliwa kimyakimya na hata gharama za ujio wake hazikuwekwa wazi.
Ameonesha kuwa ni winga mwenye makali ya kimataifa. Ana kasi, pasi za upendo, anaona nafasi katikati ya msitu wa mabeki na ni mpambanaji.
Katika muda mfupi aliopo Simba amefanya wachezaji wengi sana waliopita hapo...
Habari!
Nahitaji vijana 10 hadi 20 ambao wanajihusisha na kazi ndani ya kariakoo, kwa lugha nyepesi bila kumumunya maneno nahitaji winga wa kariakoo nifanye nao kazi ya kufanya utafiti wa bidhaa husikia ambazo mteja anahitaji kutoka kariakoo kwa bei ya jumla.
Kila chimbo la bidhaa ambalo mteja...
Naomba mawazo yenu mnaotumia Instagram na Facebook kuuza bidhaa. Kwa winga anaechukua vitu kariakoo ni bidhaa gani rahisi kuuzika ukiweka insta na FB alafu ukaipromote?
Tusaidiane uzoefu, keki ni kubwa kila mtu walau apate kipande.
Nawasalimu kwa JMT
Katika mizunguko ya duniani nikichomwa n jua maeneo ya magomeni mwembechai, nikiwa dukani alikuja rafiki yangu niliyesoma nae O'level akiwa na mwanamke wa umri kidogo kuliko yeye, niliwahudumia vitu vya jumla kama 100k+.
Basi tukabadilisha mawasiliano, akaniambia yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.