Mmecheza vizuri, kwa yoyote anaejua mpira atakubaliana na mimi kwamba timu iliyokua bora uwanjani ndio imeshinda. Kuna masuala madogo madogo naamini yatafanyiwa kazi kazi la kwanza kabisa ni usahihi wa kumalizia nafasi zinazopatikana.
Ninachotaka kusema ni kwamba uko tunapoenda wachezaji...