Hii inachekesha kidogo πππ
Je wewe ni aina gani ya Mke au upo katika aina gani ya mke? Hata kama hajaolewa lakini unatumaini kuwa Mke wa mtu.
1. BOXING WIVES : Hawa ni aina ya wake wanaopigana na waume zao kwa makusudi ili tu kumtia hasira. Wanawake wa aina hii wako tayari kupigana na mume...