Usiku huu wakati narejea magetoni, mwenzangu amecharuka na hataki kuelewa lolote, anadai nimetoka kukutana na mwanamke mwingine.
Sababu ni harufu ya Poda ambayo imebaki mwilini mwangu, kweli sijakataa nanukia Poda.
Lakini Kama mnavyojua mchezo wa pool table, Ni lazima utumie Poda ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.