Jeshi la Polisi linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya Editha Andason, mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa, uliopo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, aliyeuawa kwa kunyongwa kwa mtandio shingoni.
Akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 28, 2024, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Brasius...
Mama mwenye watoto tisa, Bi.Honga Shija (45) mkazi wa Kijiji cha Majengo Kata ya Upendo Wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya, amejeruhiwa maeneo mbalimbali ya mwili wake kwa kupigwa na watu wanne, mume wake na mashemeji zake kisa wivu wa mapenzi.
Akizungumza kwa njia ya simu Kaimu Kamanda wa Jeshi la...
Polisi Mkoa wa Tanga linamtafuta Alii Bagidai (60), mkazi wa Barabara ya 4, Wilaya na Jiji la Tanga kwa tuhuma za kumuua mkewe Saira Mohammed (50) na binti wa kazi anayejulikana kwa jina moja Asha (20) kwa kuwanyonga na kamba ya katani shingoni, kisha kuwatoboa macho.
Taarifa iliyotolewa na...
Wakuu , hawa Wanawake kutoka kanda ya ziwa sio Poa kabisa aisee wanaweza kukuvunja miguu hivi hivi Kama mwanaume Ukiwa dhaifu aisee hatari Sana hawa Wanawake kutoka kanda Hii Jana nusura nivunjwe miguu na mke wangu baada kukuta Meseji kwenye simu yangu.
Mke wangu nilimuomba msamaha kwa kumpigia...
Kijana mmoja Anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 35 aitwae Henry amejinyonga hadi kufa kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Tukio hilo limetokea leo mchana Katika Kijiji cha Narumu huko katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.
Sababu Za kijana huyo kujinyonga hadi kufa ni baada ya...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kijana mmoja kutoka Arusha ajulikanaye kwa jina la Idrisa Baltazari (30) amefanikiwa kumuua mpenzi wa mama yake aitwaye Manzi Yambayamba (34) kwa sababu za wivu wa kimapenzi.
Habari kamili kutoka eneo la tukio zinadai kuwa kijana huyu pia...
Wivu wa Kimapenzi umesababisha kifo cha Dr Mellus Tshube, Raia wa Gaborone, Botswana Jumapili iliyopita ambapo kabla ya kufariki kwake aliwaua pia watoto wake wawili, mmoja akiwa na umri wa miaka 2 na mwingine akiwa na miaka 7.
Kamanda wa Polisi wa eneo hilo, Obusitswe Lokae amethibitisha...
Mkazi wa kijji cha Isango wilaya ya Rorya, Maria Marwa (36) amelazwa katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Mara baada ya kudaiwa kukatwa mkono na titi na mumewe.
Mwanamke huyo alipata majeraha hayo baada ya kuibuka ugomvi baina yake na mume wake huku chanzo kikidaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.