Wizara ya Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi kupitia Mradi wa Kuimarisha Miundombinu ya Upimaji na Ramani (LDI) imeendesha semina ya kuwajengea uwezo wadau wa mradi huo kutoka taasisi mbalimbali kuhusiana na namna mradi mradi huo unavyorahisisha kazi katika maeneo yao.
Semina hiyo imefanyika...