Taifa linapoteza nguvu kazi kwa kasi ya mchongoko si kwa mapenzi ya Mungu bali kukosa maarifa. Ni mwendawazimu pekee anaweza kujiaminisha kuwa hizi ajali tunazozishuhudia ni mapenzi ya Mungu.
Nchi serious ninazozijua kuruhusiwa kuingia barabarani na chombo cha moto ni mchakato very strict na...
Kuna wakati Mwaka 2019 nilitumia TCL TV ikiwa na builtin Decorder DVB T/T2 na ilikuwa nikiunga antenna napata channel mbalimbali Bure. Ni muda Sasa TV hiyo Toka iharibike. Sasa katika uchunguzi naambiwa hizo channel Sasa hazipatikani zimezuiliwa na Serikali.
Hivi Sasa Kuna TV nyingi sana...
Haki ya kufa, mara nyingi hujulikana kama kujiua kwa msaada wa daktari (PAS), ni suala tata na nyeti. Hata hivyo, kupuuza mateso ya watu wanaopitia maumivu makali kwa muda mrefu kutokana na sababu mbalimbali kunakuwa kukosa kuheshimu haki yao ya msingi ya heshima(dignity).
Katika uwanja wa haki...
Sekta ya uvuvi imekuwa ni sekta pana inayoajiri asilimia kubwa ya Watanzania inayosaidia vijana kujiajiri na kutatua tatizo la upungufu wa ajira katika taifa letu kwa kiasi chake.
Taifa letu limejaaliwa rasilimali nzuri sana kwaajili ya kufanya uvuvi endelevu Tanzania kuna mito mikubwa kama mto...
Leo GENTAMYCINE a.k.a Kiboko Yao na Mfalme wa Uwasilishaji wa Mada ( Threads ) Mtambuka JamiiForums nitakuwa Msomaji zaidi wa Comments / Responses zenu juu ya Mada hii Kuntu na Husika.
Hali ilivyo sasa.
Sheria za Kodi ya Tanzania inaelekeza ulipaji wa Kodi kwa Kampuni zote zinazoanzishwa (changa) kuwa sawia na kampuni kongwe kama Tanzania Breweries Ltd (TBL), Vodacom Tanzania, Azam, Cocacola Kwanza Tanzania na Mohamed Enterprises METL.
Mfumo unataka kampuni zote...
Kwa kila mwaka, serikali inahitaji makadilio ya mapato na matumizi ili iweze kuendesha nchi na kutekeleza miradi mbalimbali ili kunufaisha wananchi na kuleta maendeleo yaliyo thabiti.
Hii pia huchagizwa na uwepo wa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ambayo kwa kila mwaka lazima likae...