Heshima kwenu wakuu,
Nimekua shahidi wa michango mizuri humu inavyo fika sehemu husika na kusaidia watu mbalimbali. Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nina mzee wangu amestaafu kazi serikalini takribani miaka kadhaa iliyopita (zaidi ya kumi). Alikua Mkuu wa Wilaya (Wilaya tofauti tofauti kwa...