Naitwa Mundu nimezaliwa kwenye familia ya watoto saba. Baba yangu alifukuzwa kazi sababu ya ulevi na upinzani wa kisiasa mwaka 1996, mwaka mmoja tu baada ya mimi kuzaliwa nikiwa mtoto wa nne kati ya watoto saba.
Familia haikuwa na amani sana mwanzoni kwa sababu ya ulevi uliopindukia na msongo...