Habari, ya kutwa mwanzo wa juma kabisa siku ya hangover kazini za weekend nzima
Mimi kwa majina ndo haya haya mnayoyaona
Nimekutana na changamoto ya wizi wa dakika kutoka mtandao wa vodacom
Nilijiunga kifurushi cha wiki cheka ya tsh 30,00 ambapo hupata dakika zenye nchanganuo wa matumiz...