Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ni mpango wa bima ya afya ya umma nchini Tanzania. Mfuko huu ulianzishwa mwaka 2002 kwa Sheria ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Sura ya 395 ya Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania za mwaka 2002.
Huduma zitolewazo kwa wanachama wa NHIF ni kama...