Wakuu,
Wizara ya Afya nchini Uganda, imethibitisha mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Ebola, ‘Sudan Ebola Virus Disease’ (SVD) jijini Kampala baada ya sampuli kuthibitishwa na maabara tatu za kitaifa.
Taarifa hiyo iliyotolewa leo Alhamisi, Januari 30, 2025 imeelezea kuwa tukio la kwanza ni...