Muswano mdau.
Pichani ni moja ya ndizi tamu sana ijulikanayo kama malindi, ndizi hii ambayo huwa inakuwa na vidoadoa vidogo hutofautisha ndizi hii tamu na zile nyingine pichani chini.
Nchini Zanzibar, serikali ya mapinduzi Zanzibari iliwahi kupiga marufuku uagizaji na kuingiza mazao na miche...