wizara ya fedha na mipango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    Tanzania yazindua Noti Mpya toleo la 2010 zenye Saini ya Waziri Mwigulu Nchemba na Gavana Emmanuel Tutuba

    Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye mzunguko kuanzia tarehe mosi Februari mwaka huu. Gavana Tutuba amesema hayo wakati...
  2. Black Legend

    Mabenki yamepandisha saana riba za mikopo Serikali ipo?

    Mwaka 2023 na mwaka 2024, mabenki mengi yalitangaza kupata super profits na yakatoa gawio kubwa kwa wanahisa. Cha ajabu saana, pamoja na kutangaza super profits na ongezeko la mitaji ya mabenki, mabenki hayo yameenda mbali kwa kuongeza riba juu zaidi za mikopo ambayo imekuwa maumivu makubwa kwa...
  3. BARD AI

    Tanzania yafunguliwa Kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 3.2 kutoka kampuni ya Orca Energy kwa kukiuka Mkataba wa Uwekezaji

    ◾Serikali ya Tanzania kwa mara nyingine tena imeshutumiwa na kampuni ya wawekezaji wa kigeni kwa kukiuka masharti ya mkataba wa uwekezaji baina ya nchi mbili (BIT) ◾Haya yanajiri wiki chache tu baada ya Tanzania kukubali kulipa dola milioni 90 kwa kampuni ya Australia kutatua kesi ya usuluhishi...
  4. R

    No country has developed progressively through Taxation alone

    “A Lesson for Tanzania” Introduction Taxation plays a significant role in generating government revenue. In Tanzania, taxes fund essential services such as healthcare, education, and infrastructure. However, the efficiency and effectiveness of tax collection and utilization are often...
  5. Erythrocyte

    Serikali yasalimu amri mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo, yakubali kusitisha kamatakamata ya TRA na kuleta mfumo mpya wa kodi

    Hiyo ndio Taarifa ya sasa baada ya mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo unaoendelea ======= Waziri wa Viwanda na Biashara, Kitila Mkumbo amesema wamekutana na wafanyabiashara wa Kariakoo na kutoka sehemu nyingine Tanzania wakiongozwa na mwenyekiti wa wafanyabiashara Kariakoo, Majid Mbwana...
  6. saidoo25

    Bunge linapitisha mambo mimi kama mtanzania nikiangalia naingia huzuni

    MWANAHABARI nguli na anayeheshimika nchini Tanzania, Pascal Mayala amelitupia lawama Bunge la Tanzania kwa kupitisha baadhi ya mambo ambayo kuna wakati yanampa huzuni na hasira kubwa. "Kuna baadhi ya mambo ambayo Bunge letu limefanya ni mambo ndivyo sivyo,hakuna anayejua mambo haya ni ndivyo...
  7. Zulu Man Tz

    Zijue Sababu Za Kuporomoka Kwa Nafasi Ya Tanzania Kwenye Global Crypto Adoption Index

    Heri ya X-Max na Mwaka Mpya Ndugu zang wa JF 🙌🎄🥂, Maana Ya Global Crypto Adoption Index. Hiki ni kipimo kimevumbuliwa na kampuni ya utafiti wa sarafu mtandao Ulimwenguni uitwao Chainalysis. Lengo haswa ya hii farisihi ni kupima je ni nchi gani watu wake wanaweka fedha kwa wingi kwenye sarafu za...
  8. jebs2002

    Yah yah yah yah Trab na Trat

    Ni pale shemeji na wifi yenu alipokamata njumu mifukoni kwenye suruali yangu! Macho yalinitoka kigugumizi mate kukauka kutaka nimezwe na ardhi! Ilibidi tu niwasingizie wakina Trab na Trat! Za mwizi kweli 40! Ebu nanyi fungukeni mliwasingizia kina nani kwenye situation kama hiyo.
  9. K

    SoC02 Kufanya kazi na vijana wa kitanzania walio feli kidato cha nne na wapo nyumnani bila kazi yeyote ili wakue kiuchumi na kuajiri vijana wengine

    MOTTO: Kijana na mabadiliko ya uchumi. LENGO: Kusaidia kukua kiuchumi vijana walio hitimu kidato cha nne na kufeli mitihani yao wakiwemo pia vijana wa makundi maalum na wapo nyumbani hawana vyanzo vya kujiingizia vipato na kuwabadilisha kiuchumi wale wasio na elimu kabisa. DIRA: Kuhakikisha...
  10. Baraka Mina

    Hongera Serikali: Ukweli kuhusu Bajeti ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2021/2022

    Kwema wanajamvi, tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uzima na afya. Poleni na majukumu mbalimbali ya kulijenga taifa, Moja kwa moja naomba niende kwenye mada. Wahenga walisema "Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha", baada ya mjadala mrefu juzi Juni 22, 2021 Bunge la Tanzania lilipitisha na kuidhinisha...
Back
Top Bottom