Wakuu,
Uchawa ni kansa ambayo tunaulea, siku vikibumbuluka tutajita sana!
=====
Kupitia ukurasa wake wa Insta@Gerson Msigwa ameandika haya;
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) tunakuletea Tamasha la Muziki wa Dansi liitwalo KADANSEE LA MAMA...
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imesema miongoni mwa maeneo ya vipaumbele vya Wizara chini ya Mfumo wa Anwani za Makazi ni kushiriki kikamilifu katika kukuza Sekta ya Utalii nchini.
Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 15 Septemba, 2024 na Bw. Mulembwa Munaku...
Mheshimiwa Waziri (Mstaafu) [MB] ulikua mbunifu sana katika sekta ya Mawasiliano. Toka Uhuru hakuna Waziri aliyewahi kupanda kwenye minara ya Mawasiliano Ila wewe umeweza.
Na umeacha alama. Hongera Sana na mapumziko mema ya kustaafu Uwaziri. Endelea Kula mema ya ubunge mpaka Wananchi...
Wanahabari tuna jambo letu
=====
Wanahabari tuna jambo letu
Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari.
🗓️ 18-19 Juni, 2024.
Kikao Kazi cha Maafisa Habari wa Serikali.
🗓️ 20-22 Juni, 2024.
Mgeni rasmi: Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waalikwa tukutane...
Anaandika Yericko Nyerere katika Mitandao yake ya kijamii;
"Nashauri Serikali ianzishe kituo maalumu cha huduma kwa wateja (special customer care) mitandaoni ambacho kitapokea shida na matatizo yote ya watz. Wizara ya Habari na Mawasiliano kinadharia haina manufaa kwa umma, na haina tija ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.