wizara ya madini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    DOKEZO Wizara ya Madini ipige marufuku wachimbaji wadogo kutumia zebaki ili kutunza mazingira na kuuimarisha Afya za wananchi

    Hellow Tanganyika! Uharibifu wa mazingira ni mkubwa Kanda ya Ziwa, Nia ni njema kuruhusu wachimbaji WADOGO, ila usimamizi wa karibu ni muhimu. Serikali chini ya wizara ya madini itengeneze centers za kuchakata udongo na mawe yenye dhahabu mchimbaji mdogo alipie gharama. Huu uholela wa...
  2. Stephano Mgendanyi

    Wizara ya Madini Kurejesha Minada ya Ndani na Kimataifa Madini ya Vito

    ● Itafanyika ndani ya nchi na nje ya nchi ● Itaendeshwa na Tume ya Madini kushirikiana na Soko la Bidhaa Tanzania ● Marekebisho ya Sheria na Kanuni yakamilika ⚫️ Ni utekelezaji wa Rais Samia kukuza biashara ya Tanzanite Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Madini inarudisha minada ya ndani ya...
  3. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Aipongeza Wizara ya Madini kwa Usimamizi Madhubuti wa Sekta

    RAIS SAMIA AIPONGEZA WIZARA YA MADINI KWA USIMAMIZI MADHUBUTI WA SEKTA ⚫️ Trilioni moja yatengwa kwa ajili ya ununuzi wa dhahabu kupitia BOT ● Shilingi Bilioni 250 zatengwa kama dhamana ya mikopo kwa wafanyabiashara wa dhahabu ●Mwaka 2023 madini yenye thamani zaidi Trilioni mbili yaliuzwa...
  4. I

    Wanawake wekezeni kwenye sekta ya Madini: Makamu Mwenyekiti wa UWT

    Makamu Mwenyekiti wa Umoja Wa Wanawake Tanzania (UWT) Zainab Khamis Shomari ametoa wito kwa Wanawake na Watanzania kwa ujumla kuchangamkia fursa zilizopo katika sekta ya madini ikiwemo kuwekeza kwenye shughuli za uchimbaji pamoja na kutoa huduma migodini. Amedai kuwa Serikali imeweka mazingira...
  5. Roving Journalist

    Wizara ya Madini, Tume ya Madini na BoT wakutana na Wadau kuhusu utekelezaji wa Kifungu cha 59 cha Sheria ya Madini Sura 123

    Ikiwa ni mkakati wa kujenga uelewa kwa wadau wa madini kuhusu utekelezaji wa kifungu cha 59 cha Sheria ya Madini Sura 123, leo Oktoba 04, 2024 Wizara ya Madini imeratibu mkutano wa wachimbaji na wafanyabiashara wa madini uliofanyika jijini Dodoma ambapo elimu kuhusu utekelezaji wa sheria hiyo...
  6. OleWako

    KERO Mining Cadastre Map ya Wizara ya Madini haipatikani

    Nilipotaka kuthibitisha taarifa kuhusu leseni za kuchimba madini ya lithium nchini niligundua ramani ya "Mining Cadastre" haipatikani tena. (http://portal.madini.go.tz/map/) Wizara ya Madini wanataka tusipate access ya taarifa ya msingi hizi tena au kuna changamoto ya mfumo wa TEHAMA kwao...
  7. B

    Waziri wa Madini apongeza Maafisa madini kwa kuvunja rekodi ya Mapato ya Bilioni 196 kwa miezi miwil

    Ndani ya miezi miwili yakusanya shilingi bilioni196 ikiwa ni zaidi ya kiasi kilichokusanywa katika mwaka wa fedha 2015/2016 cha shilingi bilioni 161 Waziri Mavunde apongeza Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa kwa kuibeba Sekta ya Madini kupitia ukusanyaji wa maduhuli. Ampongeza Rais Samia kwa kuipa...
  8. Roving Journalist

    Dkt. Mpango aelekeza Wizara ya Madini kusimamia uvunaji wa madini ya kimkakati Nchini

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ameitaka Wizara ya Madini kuhakisha inasimamia vyema uvunaji wa madini ya kimkakati ili nchi iweze kunufaika nayo. Mh. Dkt. Mpango ameyasema hayo leo Agosti 22, 2024 Katika eneo La Mpwayungu,Wilaya ya Chamwino-Dodoma wakati...
  9. Roving Journalist

    Wizara tatu zajadili hali ya uzalishaji chumvi nchini Tanzania

    Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Wizara ya Mipango na Uwekezaji pamoja na Wizara ya Viwanda na Biashara zimekutana kujadili namna ya kuondoa changamoto katika sekta ndogo ya chumvi nchini. Wizara hizo zimekutana jijini Dodoma kufuatia taarifa zilizowasilishwa kwa Serikali na Chama cha...
  10. Stephano Mgendanyi

    Wizara ya Madini Yaanza Utekelezaji wa Programu ya Wakina Mama na Vijana (MBT) kwa Vitendo

    WIZARA YA MADINI YAANZA UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA WAKINA MAMA NA VIJANA (MBT) KWA VITENDO •Leseni 4 zakabidhiwa kwa kikundi cha Mshikamano Women •Waziri Mavunde awapongeza kwa kujenga Zahanati na kununua Ambulance •Aitaka Halmashauri ya Msalala kupunguza ushuru kwa wachimbaji wadogo •Rais...
  11. Roving Journalist

    Wizara ya Madini yaendelea kutoa darasa la kutumia mfumo wa ‘Monorope System Winchi’ kutoa udongo kwenye mgodi

    Wizara ya Madini kupitia Tume ya Madini kwa kushirikiana na Kampuni ya Kidee Mining Ltd wanaendelea kutoa elimu kwa wachimbaji wadogo na wa kati wa madini wanaotembelea Banda la Tume ya Madini katika Maonesho ya Nane Nane yanayoendelea kwenye viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma, namna ya kutumia...
  12. peno hasegawa

    Tume ya Madini na Wizara ya Madini watendeeni haki Watanzania ambao ni wachimbaji wadogo wa madini

    Tume ya Madini inafaa kueleza vizuri sababu za kutofautisha katika utoaji wa leseni kati ya PL 6973/2011 NA RL 0009/2014. Hili ni wajibu muhimu wao kwa ajili ya uwazi na uwajibikaji katika mchakato huo. Baadhi ya mambo yanayostahili kuzingatiwa ni: 1. Kueleza kwa undani sababu za kuchelewa...
  13. H

    SoC04 Wizara ya ujenzi na Wizara ya Madini zishirikiane kikamilifu ili kurahisisha upatikanaji wa malighafi za ujenzi wa miundombinu ya barabara

    Wizara ya ujenzi inatakiwa kufanya kazi bega kwa bega na wizara ya madini ilikurahisha upatikanaji wa malighafi za ujenzi wa miundombinu ya barabara ili ujenzi uweze kukamilika kwa wakati na wananchi kuanza kupata huduma kupitia miundombinu iliyopo katika maeneo Yao. Kutokana na mabadiliko ya...
  14. Stephano Mgendanyi

    Bajeti ya Wizara ya Madini Imegusa Kila Sekta Hasa Wachimbaji Wadogo wa Madini Nchini

    MHE. MASACHE KASAKA: Bajeti ya Wizara ya Madini Imegusa Kila Sekta Hasa Wachimbaji Wadogo wa Madini Nchini "Serikali imewasilisha bajeti nzuri ya Wizara ya Madini maana imegusa kila sekta hasa kwa wachimbaji wadogo. Mimi natokea Wilaya ya Chunya palipo na Wachimbaji wadogo nimeona Serikali...
  15. Pfizer

    Wizara ya Madini yashiriki Mkutano wa Wakuu wa Serikali ya Urusi na Nchi za Afrika

    #Dkt. Biteko Atangaza Fursa uwekezaji Sekta ya Madini St. Petersburg – Urusi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amemwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania katika Mkutano wa Wakuu wa Serikali ya Urusi na nchi za Afrika...
  16. Pfizer

    Wizara ya Madini imepongezwa na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kutoa elimu kwa wananchi

    MADINI YAPONGEZWA KWA KUTOA ELIMU NA KAMPUNI YA GGML #GGML wapongeza Mkaa mbadala wa STAMICO #GGML Kinara uchangiaji huduma kwa jamii Wizara ya Madini imepongezwa na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kutoa elimu kwa wananchi na wadau wanaotembelea banda la Wizara, taasisi zake...
  17. Stephano Mgendanyi

    Wizara ya Madini Yaomba Shilingi Bilioni 89.3 kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024

    WIZARA YA MADINI YAOMBA SHILINGI BILIONI 89.3 Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko ameliomba Bunge liridhie na kupitisha makadirio ya shilingi 89,357,491,000.00 kwa ajili ya matumizi ya Wizara na Taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Akizungumza Bungeni Aprili 27,2023 Waziri wa Madini Mhe...
  18. benzemah

    Vipaumbele vya Wizara ya Madini kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024

    Nimefuatilia uwasilishwaji wa Bajeti ya Wizara ya Madini uliofanywa leo 27 April 2023 na Waziri Dotto Biteko Bungeni na nimevutiwa na maendeleo makubwa yaliyofikiwa na sekta hiyo hasa katika uendelezaji wa sekta unaofanywa na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan...
  19. Replica

    Wizara ya Madini imesema inafuatilia jiwe la bilioni 240 linalopigwa mnada Dubai, yasema ilipata taarifa mtandaoni

    Leo wa mbunge Mkinga, Dastan Kitandula ameuliza bungeni kuhusu jiwe la Tanzania linalopigwa mnada Dubai, Uarabuni. Naibu waziri wa madini amesema nao waliona mtandaoni na wanafatilia. ===== Dansatan Kitandula: Mheshimiwa spika, jiwe la ruby lenye uzito wa kilo 2.8 lipo kwenye maonesho kwasasa...
  20. Richard

    Rais Samia kumuacha Dotto Biteko, kumpa Bashe Kilimo na Prof. Mkenda umeonesha ukomavu na uelewa. Mchengerwa naomba urudishe kombe la taifa

    Raisi Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri ambalo ni lilelile alolirithi kutoka kwa mtangulizi wake hayati Magufuli. Ni mabadiliko ambayo yanaonyesha kwamba anataka watu wataomsikiliza na walo tayari kufuata akitakacho na si kujitia ujuaji. Hivyo raisi kaamua...
Back
Top Bottom