ALIYOSEMA WAZIRI WA MADINI MHE. DOTO BITEKO KUHUSU MAFANIKIO YA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA BARA LEO NOVEMBA 5,2021 JIJINI DODOMA
#Mwaka 2009 Serikali ilitunga upya Sera ya Taifa ya Madini na kufuatiwa na Sheria ya Madini ya Mwaka 2010. Baada ya kuonekana kuwepo kwa changamoto kadhaa...