Wizara ya Maendeleo ya Jamii kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NaCoNGO) inaandaa Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali litakalofanyika tarehe 04 - 06 Sept, 2024 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma kuanzia saa 1.30 asubuhi...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Dorothy Gwajima utendaji wake umenikumbusha enzi za Augustino Lyatonga Mrema alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani alikuwa ni mwepesi sana kushughulikia matatizo ya Wananchi bila kujali kama anaingilia Wizara nyingine ama la
Bila Dr Gwajima kuingilia Kati nadhani...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum Dkt. Dorothy O. Gwajima. Ametoa ahadi kwa kijana Edward Futakamba kupitia Wizara watampa tuzo ya Mwanaume bora ili kuhamasisha watu wengine hata katika mapito magumu ukisimama unabaki na hekima halafu unapandisha hadhi yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.