Kwa jinsi ilivyo wizara ya mambo ya ndani kuwa na hekaheka za matukio ya kihalifi nadhani wizara ya mambo ya ndani ilipaswa iwe na mtu mkali. Ukali wenye maana na kwenye mambo ya msingi.
Kimsingi kila Waziri kwenye eneo lake anapaswa kuwa mkali kwenye mambo ya msingi vinginevyo mambo hayawezi...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amezindua Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi huku akiipa majukumu bodi hiyo kulisimamia shirika ambalo linaenda kutekeleza miradi mbalimbali ambayo inaenda kuleta mabadiliko makubwa kwa Jeshi la Polisi katika kukabiliana...
Muswano mdau.
Pichani ni moja ya ndizi tamu sana ijulikanayo kama malindi, ndizi hii ambayo huwa inakuwa na vidoadoa vidogo hutofautisha ndizi hii tamu na zile nyingine pichani chini.
Nchini Zanzibar, serikali ya mapinduzi Zanzibari iliwahi kupiga marufuku uagizaji na kuingiza mazao na miche...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.