Waziri Kombo apongeza mabaoresho Kituo cha Mikutano cha AICC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amepongeza maboresho makubwa yanayofanywa katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC).
Balozi Kombo ametoa pongezi hizo...
Huyu ndo waziri wetu wa mambo ya nchi za nje hivi sasa, Mh. Mahmoud Thabit Kombo akiwa kikazi huko Afrika Kusini alipofanya mahojiano na runinga ya SABC.
Toa tathmini yako. Kafanya vizuri au kaharibu?
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla amesema kuwa Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais ipo tayari kutoa ushirikiano kwa Wizara ya Mambo ya Nje na Wizara nyengine za Muungano ili kuleta ufanisi mzuri wa kazi kwa pande zote mbili za Jamhuri ya Muungano wa...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, Ijumaa Agosti 09, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki.
Ujumbe huo ambao umeongozwa na Waziri katika Wizara hiyo Balozi Mahmoud Thabit Kombo, umefika...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, Ijumaa Agosti 09, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki.
Ujumbe huo ambao umeongozwa na Waziri katika Wizara hiyo Balozi Mahmoud Thabit Kombo...
Later today in Nairobi, we will be launching the construction of Twin Towers (22 floors each) buildings, a real estate investment by NSSF and Tanzania’s Ministry of Foreign Affairs in Upper Hill, the center of Nairobi, that will also house our embassy. We are honoured to be joined by Kenya’s...
Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi.
Waziri Makamba ameyasema hayo leo 6.6.2024 akizungumzia ziara ya Rais Samia nchini Korea
Zaidi sikiliza hii link mpaka...
Kijana inaonekana kamshika bi mkubwa haswa, kila anachoambiwa na huyu kijana anakubaliana nacho, hana muda wa kutafakari.
Katoka TANESCO kachemka akiacha safu isiyo na matumaini mpaka kupelekea Mkurugenzi Mkuu na Mwenyekiti wa Bodi kung'oka.
Zengwe limehamishiwa Wizara ya Mambo Nje kwa sasa...
Tunakumbushana tu Kwani hadi sasa Wizara ya Mambo ya Nje ndio inaongoza kwa kutoa Marais Wawili waliongozana hayati Mkapa na mzee Kikwete
Lakini MFA inatamba sana kwenye 3 Bora za Kura za Maoni
Je, Safari ya CCM kumpeleka January Makamba Ikulu ndio imeanza?
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Nguli huyu wa Diplomasia aliitendea haki Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa kutokana uzoefu uzoefu wake kama Balozi aliyewahi kutuwakilisha huko ughaibuni.
Nakumbuka alikuwa na kasi kubwa sana tangu alivyopewa majukumu ya kuongoza Wizara kabla ya kufikiwa na ' ajali ya kisiasa'...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.