wizara ya mawasiliano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, kwa sababu hizi Wizara ya Mawasiliano ilikuwa sahihi kumtimua Elon Musk na intaneti yake?

    Amani ya Bwana iwe nanyi. Tilionea Elon Musk alikusudia kutuletea intaneti ya bei rahisi ya setilaiti. Nimemfuatilia huyu Bwana licha ya wema wake ni kama mafia sana na anaingilia hadi mambo ya nchi husika kwa maslahi yake. 1: Rais wa Venezuela aliyeshinda amemtuhumu jamaa kutumia zaidi ya...
  2. Rais Ruto aagiza Wizara ya Mawasiliano kuandaa Sheria itakayowezesha Ushindani wa Kidigitali

    Rais William Ruto ametoa maagizo hayo na kueleza Serikali yake imeweka nia ya kutengeneza mazingira yenye Ushindani ikiwemo kuongeza ushawishi kwa Makampuni ya Teknolojia kwaajili ya kuwekeza zaidi Nchini humo. Kauli ya Ruto inakuja siku chache tangu aanze ziara ya siku 10 katika Mataifa ya...
  3. Zijue Sababu Za Kuporomoka Kwa Nafasi Ya Tanzania Kwenye Global Crypto Adoption Index

    Heri ya X-Max na Mwaka Mpya Ndugu zang wa JF πŸ™ŒπŸŽ„πŸ₯‚, Maana Ya Global Crypto Adoption Index. Hiki ni kipimo kimevumbuliwa na kampuni ya utafiti wa sarafu mtandao Ulimwenguni uitwao Chainalysis. Lengo haswa ya hii farisihi ni kupima je ni nchi gani watu wake wanaweka fedha kwa wingi kwenye sarafu za...
  4. Ombi kwa Rais wetu Mhe. Samia Suluhu Hassan, Wizara ya Mawasiliano: Tunaomba mtupie jicho kwenye kupanda kwa ma-bando (Mobile internet services)

    Videkezo. [1]Mpaka TTCL wamepandisha bei za mabundle kutoka 1.2GB /1000 Tshs mpaka 600MB/ 1000 Tshs. Makampuni binafsi yalipandisha kitambo. [2]Inavyooneka, makampuni ya simu yanashirikiana kupandisha bei za ma-bundle kama madereva wa dala dala stand ya 7 7[Dodoma]. Wakishapandisha wote...
  5. Dkt. Chaula ahimiza uwajibikaji wa pamoja Shirika la Posta

    DKT CHAULA AZUNGUMZIA UWAJIBIKAJI WA PAMOJA POSTA Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Zainab Chaula ameitaka Menejimenti ya Shirika la Posta Tanzania kufanya kazi kwa tija, bidii, weledi na uwajibikaji wa Pamoja ili kuleta matokeo mazuri kwa Shirika na maslahi mapana...
  6. J

    Wahariri wapigwa msasa kuifahamu Wizara ya Mawasiliano na Technologia ya Habari

    WAHARIRI WAPIGWA MSASA KUIFAHAMU WIZARA YA MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI Na Mwandishi wetu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imefanya mkutano na wahariri wa vyombo vya habari nchini kwa lengo la kuwajengea uelewa ili waifahamu Wizara hiyo, taasisi zilizo chini ya Wizara...
  7. J

    Wizara ya Mawasiliano yakanusha taarifa ya kuwapo kwa mpango wa kuundwa Sheria ya kutumia laini moja ya simu kila mtandao

    Taarifa Kwa Umma kutoka Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…