Niende moja kwa moja kwenye kero yangu, kuna kiwanda cha kuyeyusha chupa za plastiki kipo opposite na Mto Msimbazi (njia panda ya kwenda Kigogo) kile kiwanda hakina mabomba ya kusafirishia moshi kwenda angani, wakianza shughuli zao za uyeyushaji moshi unasambaa barabarani na majumbani kwa watu...
Kama umezaliwa kijijini kuanzia miaka ya 90 kurudi nyuma hebu jaribu kuvuta picha ya mazingira nyuma(mito, milima, mapori) jinsi yalivyokuwa then linganisha na leo ndio utaweza kukielewa ninachoenda kuzungumzia.
Nimezunguka sehemu nyingi za nchi hii kutoka kaskazini, mpaka kusini kanda ya kati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.