wizara ya michezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    Regis Uwayezu awa Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo Rwanda

    Rais wa Rwanda Paul Kagame amemteua aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba Bw. Regis Uwayezu kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo Rwanda. Mwezi Julai mwaka 2024 klabu ya Simba ilimtambulisha Bw. Francis Regis Uwayezu kuwa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo lakini miezi minne baadae [Novemba]...
  2. Dabil

    CEO wa Simba Uwayezu Francois Regis ateuliwa na Kagame kuwa katibu wizara ya michezo nchini Rwanda.

    Hii imekaaje,CEO Mrwanda aliyeletwa na Simba amekula shavu katika serikali ya Rais Kagame ameteuliwa kuwa katibu waziri wa michezo. Ikumbukwe hakupata vibali vya kazi tangu Simba imlete,naona serikali hapa iliona mbali.
  3. Mindyou

    Rais Samia afanya uteuzi: Masauni aondolewa Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais

    Wakuu, TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na mabadiliko ya Viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na mabadiliko ya viongozi hao ni kama...
  4. S

    Wizara ya Michezo na Taifa Stars chukueni ushauri huu kama mnataka matokeo makubwa siku zijazo

    Nimeangalia mechi zote za taifa star! Nikaona upo umhimu wa kubadilisha mbinu za kuchagua wachezaji wa taifa! Samatta ni mchezaji mzuri lakini hafai kuitwa timu ya taifa kwasababu yupo katika expiring date! Hatukatai ubora wake wa zaman lakini haiondoi ukweli kwamba hata sumu ikiwa kali namna...
  5. kibori nangai

    Kuna haja gani Wizara ya michezo kupeleka watu michezo ya kimataifa wakati hakuna maandalizi ya kutosha na mwisho kudhalilisha taifa letu kila wakati

    Ndugu zangu wanaJamiiForum Nakusalimuni huko huko mlipo. Nijikite kwenye hoja Hii wizara ya Utamaduni na michezo sijui inatuchukuliaje watanzania. Nimesikitishwa sanaa na hawa wawakikishi wa taifa letu kwenye michezo ya Olympic hakuna hata msimu mmoja uliowai kuwa salama kwa taifa letu. Kila...
  6. _pirate

    SoC03 Mpango wa kuandaa vijana wenye ubora na uwezo wa kusaidia kuleta maendeleo katika kiwango cha timu ya taifa ya Tanzania katika mpira wa miguu

    1. TATIZO LINALOIKUMBA TIMU YA TAIFA YA MPIRA WA MIGUU TANZANIA. Kiujumla timu ya taifa ya Tanzania imekuwa na muendelezo wa kiwango kibovu ambapo kizazi cha kuanzia miaka ya 1990 hakijawahi kuishuhudia timu hii ya Taifa katika kiwango bora hasa katika mechi za mashindano. Timu hiyo ya Taifa...
  7. M

    Mchengerwa ni Waziri wa Bahati Mbaya kuwahi kutokea katika Wizara ya Michezo Tanzania

    Yaani Tanzania tunahangaika bado Usiku na Mchana Kufuzu AFCON Yeye analaximisha mwaka 2030 Tanzania tucheze World Cup. Rais Samia huyu Mtu ulimtoa wapi?
  8. Last emperor

    Wizara ya michezo na TFF impe tuzo ya heshima daraja la kwanza Salim Bakhresa kwa mchango wake mkubwa kwenye michezo

    Greetings Wana JF! Kwa kila mpenda michezo nchini Tanzania atakubaliana na mimi kuwa Kampuni tanzu ya Azam (especially Azam TV) inayomilikiwa na Salim Bakhressa, ina mchango mkubwa sana kwenye maendeleo ya michezo nchini. Tukianzia upande wa soka, Azam TV imefanikiwa kuleta mapinduzi makubwa...
  9. avogadro

    Wizara ya Michezo ipige marufuku mashabiki maarufu wa Simba na Yanga kushangilia Taifa Stars

    Imeibuka tabia ya watu kujifanya wao wanaujua zidi mpira ama kwa kutoa kauli tata za kukatisha tamaa timu yetu ya Taifa, wachezaji na makocha pale kwa bahati mbaya inapokosa matokeo mazuri Kuna watu ambao huonekana kwenye michezo ya Simba na Yanga wakiongea hovyo huku ama wamejipaka mdude gani...
  10. M

    Kwanini zabuni ya kuonesha Ligi Kuu Tanzania Bara haikutangazwa, kapewa Azam moja kwa moja?

    TFF na AZAM TV zimeingia mkataba wa kudhamini ligi ya soka Tanzania Bara bila ya kutangaza Tenda na Pia hakuna mikataba mirefu kama huubwa miaka kumi.Huu ni ukiukwaji wa utaratibu wa kuonyesha mechi za mpira wa miguu nchini. Duniani kote Tenda zinatangazwa na kila kampuni inatoa ofa lakini...
  11. Thailand

    Kwa uwajibikaji huu wa Wizara ya Michezo, hakika Dkt. Magufuli tutakukumbuka mzee wa msimamo

    Yaani wizara ya michezo chini ya waziri Bashungwa inakuja na tamko jepesi kuhusu kuwarudishia mashabiki pesa zao za viingilio kutokana na kuhahiriswa kwa mechi ya simba na yanga bila kuwajibika kwa aliyesabisha tatizo hilo. Bila kifikiria adha na usumbufu watu walioacha shughuli zao huko...
  12. Hadrianus

    Mashabiki tugome kuingia viwanjani mechi za timu za taifa

    Wizara ya Michezo na TFF wameshirikiana kutudharau wapenzi wa mpira wa miguu kwa kufanya mambo ya kijinga na kipuuzi kabisa. Kwanza wamegoma kuweka bayana kwanini mchezo ulisogezwa mbele kwa masaa mawili huku wakijitetea kwa hoja ya kitoto na kipuuzi "tulifanya hivyo kwa nia njema". Hiyo nia...
  13. Abby Newton

    Ukimya wa Wizara ya Michezo ni uthibitisho kwamba kuna "Mkubwa" alikurupuka

    Toka sekeseke la kuvurugika kwa mchezo wa watani wa Jadi,Wizara ya michezo imekuwa bubu licha ya TFF kueleza kuwa ilipokea maelekezo ya kubadilisha muda toka Wizarani. Kuna usemi kwamba "If you hide the truth people will create their truth". Sasa kuna uvumi mwingi na kila mtu anaongea lake...
Back
Top Bottom