wizara ya nishati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Katibu Wizara ya Nishati Felchesmi Mramba: Umeme unaokuja kutoka Ethiopia utakuwa na hasara lakini hiyo hasara haituhusu

    Wakuu, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba amesema uamuzi wa Tanzania kuchukua umeme Ethiopia ni kitu chenye faida na si hasara kama watu wanavyodhani. Mramba amesema ni faida kwa kuwa baadhi ya vyanzo vya umeme hapa nchini vinazalisha uniti moja kwa bei kubwa kuliko bei ambayo...
  2. Mindyou

    Dotto Biteko unapolalamika kuhusu TANESCO kila siku unataka sisi tufanye nini wakati madaraka unayo wewe?

    Wakuu, Wakati napiga patrol zangu huko mitandaoni nimekutana na clip hii ya Biteko akiwa kwa mara nyingine anawasema TANESCO. Kwenye hii clip Biteko, analalamika kuhusu ubovu wa huduma kwa wateja za TANESCO kama ambavyo mara zote anafanya. This time anasema: "Mnaona watu wanalalamikia kuhusu...
  3. Ojuolegbha

    Dkt. Biteko akagua ujenzi wa ofisi ya Waziri Mkuu na Jengo la Wizara ya Nishati

    Dkt. Biteko akagua ujenzi wa ofisi ya Waziri Mkuu na Jengo la Wizara ya Nishati
  4. Kahtan Ahmed

    Makonda akabidhiwe Wizara ya NISHATI

    Waliowengi wanaweza kua na shaka na utendaji wa Paul Makonda kwenye wizara kama waziri ila trust me mpaka hakuna ambacho kimekosekana kwenye wizara ya NISHATI ila umeme wa uhakika umekua kitendawili. Kwa maoni yangu uwezo wa Makonda unahitajika katika wizara ya NISHATI sababu naamini uwezo wake...
  5. figganigga

    Serikali: Gharama ya kununua umeme nchini ipo chini ukilinganisha na Nchi nyingine za Afrika Mashariki

    📌 Ni kutokana na Serikali kuweka ruzuku katika kila uniti 📌 Aelezea ruzuku inayotolewa na Serikali kufikisha umeme visiwani Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema gharama ya kununua umeme nchini ipo chini ukilinganisha na Nchi nyingine za Afrika Mashariki. Hii ni kutokana na...
  6. K

    Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI

    Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI linaloendelea Visiwani Zanzibar. Wizara ya Nishati inashiriki katika tamasha hilo kupitia Maonesho ambayo Wizara inatoa huduma moja kwa moja kwa wananchi kwa...
  7. K

    Wizara ya Nishati yashiriki Tamasha la Kizimkazi Zanzibar

    WIZARA YA NISHATI YASHIRIKI TAMASHA LA KIZIMKAZI ZANZIBAR 📌 Yatoa huduma moja kwa moja kwa Wananchi kupitia Taasisi zake 📌 Nishati safi ya kupikia, yawa ajenda ya kuvutia Zanzibar. Wizara ya Nishati pamoja na Taasisi zake leo Agosti 21, 2024 zimeshiriki katika Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi...
  8. The Sheriff

    Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba: Kupikia kwa umeme ni gharama nafuu kuliko vyanzo vingine vya nishati

    Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba amesema hayo akizungumza leo Jumatano Agosti 7, 2024 alipotembelea banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) lililopo katika maonesho ya Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma. “Wakati mwingine tunatumia umeme kuwasha taa, kuwasha TV, kuwasha...
  9. Roving Journalist

    Rais Samia aiagiza Wizara ya Nishati kuongeza nguvu katika kusimamia miradi yote ya nishati

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Nishati kuongeza nguvu katika kusimamia miradi yote ya nishati ili ikamilike kwa wakati na hivyo kuwawezesha wananchi kupata nishati ya uhakika. Rais Samia ametoa agizo hilo Agosti 06, 2024 wakati akihitimisha...
  10. Roving Journalist

    Rais Samia aitaka Wizara ya Nishati kuhakikisha Katavi inapata umeme wa Gridi ifikapo Septemba 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Nishati na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha mradi wa njia kuu ya kusafirisha umeme kutoka Tabora hadi Katavi (132kV) pamoja na ujenzi wa kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme vinakamilika...
  11. N

    Kilio chetu kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi pamoja na Wizara ya Nishati

    Sisi ni Wataalamu 183 tulifanya kazi ya Uthamini katika uhamishaji wa wananchi kwenye Mradi wa GN 754 Mbarali Mbeya ambao ulikuwa unahusisha Wananchi kuhamishwa Ili kupisha hifadhi ya Ruaha na Bonde evu la Ihefu. Waheshimiwa Mawaziri wa Wizara ya ardhi Jerry Silaa na Mhe. Waziri na Naibu Waziri...
  12. ChoiceVariable

    Rasmi serikali yaruhusu na kuzindua matumizi ya magari ya umeme Tanzania

    Kutoka Dodoma Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko amezindua matumizi rasmi ya magari ya umeme Kwa Wananchi wanapotaka kuyatumia. https://www.instagram.com/p/C7nwUkRtb0m/?igsh=MTltOXdyenk3cjZieA== Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amezindua magari yanayotumia mfumo wa umeme...
  13. Stephano Mgendanyi

    Nicodemas Manganga Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati ya Tsh. 1.8 kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025.

    "Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko tangu umeteuliwa malalamiko ya Umeme yanapungua. Nakupongeza sana! Mvua zilizonyesha Jimbo la Mbogwe watu wameporomokewa na majumba, wengine wamelazwa Hospitali ya Masumbwe, Nitoe pole kwa Wananchi Mungu awajalie" "Wilaya...
  14. BARD AI

    Bajeti ya Wizara ya Nishati 2024/25 yapunguzwa kwa karibu nusu ya Bajeti ya mwaka 2023/24

    Wizara ya Nishati imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. Trilioni 1.88 kwaajili ya matumizi ya Maendeleo, Matumizi ya Kawaida na Mishara ya Wizara hiyo pamoja na Taasisi zilizo chini yake kwa mwaka 2024/25 ambapo Kati ya Fedha hizo, Tsh. 1,536,020,274,000 ni fedha za ndani na Tsh. 258,846,558,000...
  15. Suley2019

    Biteko awataka Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati kuacha kufanya kazi kwa mazoea

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka watendaji Wizara ya Nishati, Tanesco na REA kuacha mazoea na kutatua kero za wananchi. Dk Biteko ameyasema hayo leo Alhamisi, Machi 14, 2024 wakati akizindua mradi wa umeme jua utakaozalisha megawati 150 katika Kijiji cha Ngunga...
  16. BARD AI

    Dkt. James Mataragio ateuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati

    UTEUZI: Rais Samia Sululu Hassan, amemteua Dkt. James P. Mataragio, kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Mataragio anachukua nafasi ya Athumani Selemani Mbuttuka ambaye Uteuzi wake Umetenguliwa na atapangiwa kazi nyingine Kabla ya Uteuzi huu, Dkt. Mataragio aliwahi kuwa...
  17. Swahili_Patriot

    Waraka wa Wizara ya Nishati

    Swala hadi linaongelewa kwa msisitizo na kujibiwa kwa hisia ni maneno makali sana, ni dhahiri hii imekuwa changamoto sugu sasa. Hivi wanaosimamia hii Wizara ya Nishati, wanahisi nini wanapoona Wizara yao imeangukia pua nchi nzima? Kweli hii changamoto ipo au imetengenezwa? Hivi hamjiskii aibu...
  18. F

    Rais mrejeshe Kalemani wizara ya nishati Uchumi ukue

    Nadhani ifike mahali tukubali kama taifa kuwa tulijikwaa pakubwa (tulikosea sana) kumuondoa Mhe. Dkt. Medard Kalemani MB toka kwenye Baraza la Mawaziri na Wizara ya Nishati. Hali tuliyo nayo ya nishati ya umeme Tz ni wazi kuwa hatuwezi kuvutia uwekezaji mkubwa zaidi tu ya uwekezaji mdogo mdogo...
  19. Mjanja M1

    Spika Tulia: Bunge linataka mgao wa Umeme mpaka Juni uishe

    Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson, amesema kuwa Bunge limewapa Tanesco muda kufikia mwezi wa sita mgao wa umeme uwe umeisha. "Wacha tuipe serikali muda, kwa maana ipi wao walijipanga mwezi wa sita (shida ya umeme kuisha) wakarejesha nyuma mwezi wa pili...
  20. R

    Waziri Biteko anakosa mshauri wa kisiasa. Hana muda na Wizara ya Nishati, muda mwingi anatumia kujitangaza mikoani na ameanza kupoteza mvuto jukwaani

    Waziri Biteko ni kama ameshindwa kuelewa waliomteua wanataka nini kwake. Je, wanataka umeme au wanataka azunguke kufanya siasa za uchaguzi? Amekimbizana na majukwaa mfululizo toka alipoteuliwa hadi sasa Vision yake kwenye wizara imemezwa na malengo ya kisiasa yaliyo mbele yake kuliko malengo...
Back
Top Bottom