Wizara ya nishati ina mambo mengi makubwa,
Kuna mafuta yanayo endesha uchumi wetu.
Kuna gesi, sekta iliyo na matrillioni ya gesi ambayo ikiiuzwa mapema hatuta hangaika pesa za kuendeshea nchi.
Mwisho kuna umeme, unaoimulika Tanzania.
Napendekeza hii wizara ili kuharakisha haya mambo tuigawe...