DODOMA Jumatatu Machi 25 2024:
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na kampuni ya Drum Beats Carnival (T) Limited, ya Jijini Dar es Salaam zimesaini makubaliano ya ushirikiano ambapo kampuni hiyo itaratibu Tamasha la Kitaifa la Utamaduni kwa niaba ya wizara.
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa Viongozi mbalimbali kama ifuatavyo:
Amemteua Ndugu Said Othman Yakubu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Yakubu alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Amemteua...
ceo
gerson msigwa
hongera
katibu
maharage
mara
michezo
mkuu
mpya
msigwa
rais samia
sana
sanaa na michezo
tanesco
umeanza
umekatika
umeme
utamaduni
uteuzi mpya
vizuri
wizarayautamaduni
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiwaongoza Watendaji wa Wizara hiyo, Wadau mbalimbali wa Sekta hiyo na baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuingia katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kushuhudia uwasilishwaji wa Bajeti ya Wizara hiyo...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu amewapongeza Uongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kuweka bidhaa ambazo ndizo wanazifanyia kazi na kusema imewakumbusha mbali sana.
Naibu Spika Mhe. Zungu amesema hayo Juni 05, 2023 jijini Dodoma wakati...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewasilisha taarifa ya majumuisho ya Makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo, tarehe 28 Machi, 2023 Jijini Dodoma.
KAMATI YA BUNGE YAIDHINISHA BAJETI WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imeridhia na kuidhinisha matumizi ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ya takribani Bilioni 35.4 kwa mwaka wa Fedha 2023/24.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo...
Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepokea na kujadili taarifa ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu muundo na majukumu ya Wizara hiyo kwa mujibu wa ratiba na vikao vya Kamati za Bunge ambavyo vimeanza Machi 10, 2023.
========
Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.