wizi buguruni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ongezeko la matukio ya wizi maeneo ya Buguruni Dar Es Salaam

    Hivi karibuni katika eneo la Buguruni kumekuwa na unyang'anyi ambao hufanywa kwenye mida ya saa 10 mpaka saa 11 alfajiri. Wezi hao wamegawanyika katika makundi mawili; kuna ambao hutembea kwa vikundi na hubeba silaha kama visu na ambao hutumia bodaboda. Wanawavizia watu ambao wanaenda kazini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…