Zimepita siku mbili sasa sina huduma ya maji, hii ni baada ya kuibiwa mita ya maji na wezi usiku. Walifika wakafungua mita ya maji kisha wakaondoka nayo, tumekuja shituka asubuhi tunakuta maji yanamwagika kwa wingi sana kucheki mita imeng'olewa.
Sijui hizi mita zinapelekwa wapi na istoshe...