Wakuu,
Kwa siku mbili tatu hizi kumetokea changamoto kubwa ya mtandao kwenye upande wa MPESA ambapo watu wamekuwa wakipata changamoto katika kutokea na kupokea pesa kupitia mitandao ya simu.
Soma pia:
Vodacom yafafanua changamoto ya mtandao inayoendelea, wanashughulikia kumaliza tatizo...
Habarini wanajukwaa,
Jamani naomba kufahamu kuhusu hii mitandao ya smu. Nimekuwa nikiweka Salio katika mtandao X mfululizo,
jana asubuhi nimeweka salio kwa rusha nikaunga vizuri, jioni wakati narudi mishe nikapitia kwa wakala nikaweka Salio, nafika nyumbani niunge salio naambiwa halitoshi...