Wana wa Jamiiforums, Nawasalimu.
Sina uhakika kama hili linatokea kwangu tu au ni kwa kila mtu zaidi ya mara tatu au nne imetokea kwamba nikipiga tu simu kwa mtu tukajadili habari ya hela ambayo pengine natakiwa kuituma kwa njia ya simu pindi nikikata tu simu meseji inaingia kuwa tuma kwa namba...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Innocent Chengula (23) kwenda jela miaka saba, baada ya kupatikana na makosa sita likiwamo la kujipatia Sh4 milioni kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti na Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete...
Habari wanajamvi,
Utapeli na wizi wa Mitandaoni kwa kweli umekithiri sana jamani, yaani kuna ndugu yangu kidogo aibiwe na hawa watu. Ukweli ni kwamba wizi huu pia hutegemea zaidi bahati ila wengi sana wanaumia na wizi huu. Ngoja niwape kisa kilivyokuwa;
Nina kaka yangu mwenye mke na mtoto...
Habari!
Wangapi kati yetu tushakutana na changamoto ya kupoteza pesa sababu tu Vodacom Mpesa wanakataa kurudisha pale vifurushi vinajinunua mara mbili wakati mmoja?
Kuna haja ya kupaza sauti kwa aina mpya ya mitandao kuibia wateja wao.
samtz1 analeta ukakasi wa kufanya tuonekane ID moja aache kuiga iga. Anatumia picha zangu kutafuta ma kuniibiia mademu zangu.
Moderator Active mnaruhusuje watu kuiga picha zangu. Why? why? why?
My name is Gily. The only super villain and master of Minions..
Case 1:leo muda sio mrefu kanipigia simu kijana toka kilindi Tanga akaniuliza wewe ni ndege?ndio. Akasema kuna ndugu zako toka kijijini kwenu wamekuja huku kutafuta maisha(ni kweli wapo wanaukoo fulani wameenda kutafuta ardhi huko kilindi nawajua).
Kijana akaendelea kwamba baba yake ni mganga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.