Wakuu,
Hivi mna uhakika hawa viongozi wanaoteuliwa na Rais huwa wanafanyiwa vetting kweli kabla ya kupewa vyeo?
Wakati nazunguka leo mtandaoni nimekutana na clip ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi ambaye ni kama alikuwa anatishia wananchi kushiriki katika zoezi la kulinda kura...
Huyu nabii amesikika kwenye Redio akifanya kazi kubwa ya kufufua na kuwaua waovu wanao katisha maisha na ndoto za walio wengi kwa manufaa yao binafsi.
Maoni yangu atusaidie Taifa letu la Tanzania, Nabii atangaze rasmi na kuomba dua kwamba, kila atakaye iba kura afe kama wanavyokufa wachawi wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.