Huyu nabii amesikika kwenye Redio akifanya kazi kubwa ya kufufua na kuwaua waovu wanao katisha maisha na ndoto za walio wengi kwa manufaa yao binafsi.
Maoni yangu atusaidie Taifa letu la Tanzania, Nabii atangaze rasmi na kuomba dua kwamba, kila atakaye iba kura afe kama wanavyokufa wachawi wote...