Wakuu,
Akiwa anaongea kwenye kipindi cha Power Breakfast, Lema amewapa onyo hili CCM.
Lema amesema kuwa tabia ya CCM kupora na kuiba uchaguzi ni hatari kwa nchi kwani husababisha wananchi kuacha kuamini kwenye sanduku la kura.
Lema amesema kuwa wananchi wanapoacha kuamini kwenye mifumo ya...
Wakuu,
Vuguvugu la uchaguzi wa serikali za mitaa limeendelea kushika kasi.
Kupitia mtandao wa X, kada wa ACT Wazalendo amefichua kuwa baadhi ya wagombea wa ACT Wazalendo wameenguliwa kwa kile kilichoonekana kuwa amekosea kuweka mdhamini sahihi na kushindwa kuelezea vizuri wadhfa anaoenda...
Angalia hapa kwa makini Afisa uandikishaji anaruka nafasi makusudi badae lazima atapachika majina ya watu.
OR TAMISEMI Haya ndio maelekeozo mliyowapa maofisa Uandikishaji? Bado mnasema huu uchaguzi hauna uchakachuaji?
Haya yana baraka za nani? Kwa nini mnapenda kulipelekaTaifa kama watu wote...
Kada wa CHADEMA, Godbless Lema akizungumza na vyombo vya habari hivi karibuni amewataka wananchi kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, licha ya changamoto za ukiukwaji wa taratibu na sheria.
Soma pia: Lema wa CHADEMA afichua madudu mazito kwenye zoezi la uandikishwaji wa...
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa X ameonesha namna ambavyo kumeanza kutokea udhaifu na ubabaifu kwenye mchakato wa kuandikisha wapiga kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
Hii ni Kata ya Nyamizeze Sengerema Mwalimu ambaye ni Kiongozi na Kada wa CCM...
Joto la Uchaguzi wa Serikali za mitaa linazidi kuwa kali na hii ni baada ya mwanachama mmoja wa CHADEMA kufichua mbinu mpya wanayotumia CCM kuiba na kupora uchaguzi.
Kwenye kikao na baadhi ya viongozi wa TAKUKURU, mwananchi huyo amedokeza kuwa CCM tayari imeshaanza kampeni na kwamba kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.