wizi wa laptop

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizi wa laptop na simu ndani ya mabasi Morogoro

    Kumekua na wizi wa laptop na simu ndani ya mabasi pale Morogoro pindi watu wakishuka kwenda kutafuta chakula. Mara nyingi hutokea kwa mabasi yanayopita muda wa jioni, zaidi hutokea kwa mabasi yanayotoka Dodoma. Nimeona sio vizuri kutaja aina ya mabasi hayo. Nini kifanyike kupunguza kero kama hiyo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…