wizi wa magari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa nini Lema anakanusha tuhuma nyingi sana lakini hajawahi kukanusha tuhuma za wizi wa magari!?

    Godbless Lema wiki hii ametamba kwamba anaweza kuitisha press conference hata usiku wa manane kukanusha na kuelezea mambo mbalimbali. Katika mambo ambayo Lemma katuhumiwa muda mrefu ni wizi wa magari. Namsihi na hili pia aliongelee
  2. Hatari! Wezi kuweka Vyuma barabarani ili kufanikisha wizi, baada ya vyuma hivyo kupasua tairi za gari litakalopita

    Wizi barabaran umekuwa sana, hivyo tujihadhari sana watumia Barabara maana unakuta upo speed kubwa hii inaweza kusababisha hata ajali na ikapoza maisha ya waendesha vyombo vya magari.. Mamlaka husiaka iwe inakagua barabra zake kulingana na mikoa na kata na ukanda zilipo. Ili kuepusha haya
  3. Gari aina ya IST imeibwa leo. Yeyote atakayeiona naomba atupe taarifa

    Hari zenu wana JF, Kuna gari aina ya IST imeibwa leo, yeyote atakaeiona naomba atupe taarifa simu 065 954 6653 078 495 5561 T. 441 DZD Chassis number NCP600134788 Engine number 2NZ2983316 Kuna zawadi nono kwa atakae fanikisha kupatika
  4. INAUZWA Kifaa cha kuzuia wizi wa Magari, Pikipiki na Bajaj. (Wireless Kill switch)

    Kwanza tuelewane. Kifaa hiki kinamzuia mtu asiweze kuwasha Chombo chako cha moto na kuondoka nacho unless akipakie au akikokote. Chombo chako cha moto ikinafungwa switch secretly na wewe unakuwa na remote control ya hiyo switch. Nipigie simu/Whatsapp 0621 221 606 au 0688 758 625. Kwa lugha...
  5. Akamatwa kwa wizi wa magari

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam, Venance Ramadhani (36) kwa tuhuma za wizi wa gari aina ya Nissan Xtrail. Kukamatwa kwa gari hilo kulitokana na askari wa usalama barabarani walipokuwa wakifuatilia madeni ya faini za tozo la makosa ya...
  6. Wezi na Wizi wa Magari umerudi kwa kasi ya 5G ni wapi tunakosea?

    Ndani ya week 2 kuna gari tano (5) Zimeibwa Tabata, Gari Mbili zimeibwa Mlimani City. Moja ya Tabata imeibwa karibu kabisa na kituo cha Polisi. Mlimani City jamaa yangu kaibiwa Toyota Crown. Naambiwa pia Kimara kuna gari mbili zimeibwa moja ikiwa imepark nje Bar na nyingine Ndani. Naanza...
  7. Teknolojia za wizi wa magari. Usiache kupitia hapa kujifunza

    Uzi huu upo kwa ajili ya madhumuni ya kujifunza, Lengo ni utambue hatua za ziada za kuzifuata ili uweze kulinda gari lako. Zipo Tech nyingi ambazo zinatumika kwenye wizi wa magari, Hapa nazungumzia tech ambazo mtu anaweza kuwasha na kuondoka na gari lako kwa muda usiozidi dakika moja. Tech...
  8. Dhana ya watu wanaofunga GPS tracker kwenye magari kuhusika na wizi wa magari. Je, ni kweli au si kweli?

    Watu wengi huaminishana kwamba eti kwa sababu mtu fulani alikufungia GPS tracker kwenye gari basi mtu huyo anao uwezo wa kujua gari lako lipo wapi na hivyo anaweza kuja kuliiba. Kiukweli mimi nipo against na hii dhana. Naichukulia kama dhana ya mtu aisiyejua jinsi gos tracker zinavyofanya kazi...
  9. Huu wizi wa magari unaoongezeka. Wanatumia mbinu gani na wanawezaje kuyatumia bila kudakwa?

    Najiuliza sana, naambiwa IST na WISH zinalambwa kinyama. Wezi Hawa wanatumia mbinu gani kuiba kirahisi. Wanawezaje kuyauza kwa wengine au kuyatumia pasipo kadakwa Wakati nyaraka HALISI za gari hawana? Naomba kujuzwa ili tuwe macho na magari yetu.
  10. Kikundi cha wahalifu nchini Uingereza kinachojihusisha na wizi wa magari kwa kutumia kifaa cha michezo (game boy)

    Nchini Uingereza imeweza kuwa kamata wahalifu wanaojiusisha na wizi wa magari hasa yale magari yanayo tumia funguo za rimoti. vijana walio kamatwa ni Armer, 29, Bowes, 33, and Poulson, 31, baada ya kukutwa na gari aina ya Mitsubishi Outlander ambayo ilishakwisha tolewa ripoti ya kuibiwa usiku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…