Wanajukwaa kuna mtindo wa mtandao wa TIGO kukata/kutwaa balance za wateja bila maelezo.
Ukiingiza vocha kwenye laini yako na ukachelewa kuunga kifirushi, bila maelezo utakatwa hela yako mpakà inaisha.
Niliwahi kuongea na huduma kwa wateja, mara wanasema sijui umejiunga na matangazo Gani...