wizi wa nyama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Waziri Jafo: Wauza nyama Buchani kuna ujanjaujanja wanaufanya kuibia Wateja kwenye mizani

    WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo amefichua namna wauza nyama buchani wanavyocheza na mizani na kuwaibia wateja wao kwa kuwawekea vipimo visivyo sahihi. Alibainisha mbinu hizo Julai 12, 2024 alipotembelea kituo cha kupimia ujazo wa malori cha Wakala wa Vipimo (WMA) cha...
Back
Top Bottom