wizi wa pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ofisi za used pikipiki mbona zinaongezeka huku matukio yanaongezeka?

    Nilikuwa naangalia video za watu waliokamatwa kwa wizi wa pikipiki leo na juzi nikaona pikipiki nyingine wenye mali wamezikamatia maduka ya used Nikawaza hivi kuna usalama na zile pikipiki ukinunua? Vijana wamebanwa kidogo tu huko Mbeya wakamchora muuza pikipiki used Dar soko la used...
  2. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mhalifu wa wizi wa pikipiki Njombe aokoka, apewa spika kusaidia wengine kubadilika

    Aliyekuwa mhalifu wa matukio ya wizi wa pikipiki mkoani Njombe ameamua kuachana na uhalifu na kumrudia Mungu baada ya kupata maono akiwa gerezani. Baada ya kuokoka, Jeshi la Polisi mkoani humo limemkabidhi spika aliyoomba ili aitumie kueneza Neno la Mungu na kuwahamasisha wahalifu wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…