Jeshi la polisi mkoani Iringa linamsaka Askari wa Jeshi hilo aliyefahamika kwa jina la Sajenti Rogers wa Kituo cha Polisi Ipogolo na Askari wa jeshi la Akiba aitwaye Thomas Mkembela kwa tuhuma za kumuua Nashon Kiyeyeu mwenye umri wa miaka 23, Mkazi wa Nyamuhanga, Manispaa ya Iringa aliyekuwa...
Vijana wawili ambao majina yao hayajafahamika wamechomwa moto wao na pikipiki waliyokuwa wakiitumia katika eneo la Shivaz katika kata ya Kaloleni Mkoani Arusha wakidaiwa kuiba simu
Lilia Shayo amesema vijana hao walikuwa wamemuibia mwananchi mmoja simu na wakati wanakimbia walizuiwa na wananchi...
Ninaomba kufahamu jambo kidogo kwanza Serikali iliamua kudhibiti simu fake ambazo walidai zinakuwa na IMEI zaidi ya moja na rahisi kubadilisha IMEI wakati wa kuifuatilia ajabu ni kwamba inakuwa kazi kwa sasa wao Polisi kushughulikia simu zinazoibiwa licha ya kuwa mtu anakuwa na IMEI na nyaraka...
Ikiwa miaka michache iliyopita, kuwa na simu yako kuibiwa tayari ilikuwa hasara ya kifedha, leo inaweza kuwa kubwa zaidi. Teknolojia inapoimarika - na pia ujuzi wa wahalifu - upotezaji wa kifaa unaweza kuwa hasara ndogo ikilinganishwa na kile genge linaweza kufanya ikiwa wana ufikiaji wa hati...
Kumekua na wizi wa laptop na simu ndani ya mabasi pale Morogoro pindi watu wakishuka kwenda kutafuta chakula.
Mara nyingi hutokea kwa mabasi yanayopita muda wa jioni, zaidi hutokea kwa mabasi yanayotoka Dodoma. Nimeona sio vizuri kutaja aina ya mabasi hayo. Nini kifanyike kupunguza kero kama hiyo?
Kadi iwe na jina la mmiliki na taarifa zake zingine zote, na sehemu ya details ijazwe taarifa muhimu za simu kama IMEI, model, make, color na specification zingine zote. Pia pajazwe number of previous owners nk. nk.
Endapo simu itapotea au kuibiwa, by default, systems za TRA ziwe na built in...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ameutaja mkoa wa Kipolisi wa kinondoni kama kinara wa uhalifu nchini ambapo matukio ya uporaji, uvunjaji wa kutumia nguvu na uporaji kwa kutumia pikipiki yakiwa yameongezeka huku uhalifu mwingine mkubwa wa kutumia silaha za moto ukiwa umeshuka...
IMEI NUMBER NI NINI?
IMEI ni kifupi cha " International Mobile Equipment Identity". Hii ni number ambayo inatumiwa kukitambua na kutofautisha
vifaa ambavyo vinatumia cellular network. Cellular network ni network ambayo unatumia kupiga simu au kuunganishwa na internet.
Kwa simu zenye sim card...
Habari wakuu!
Kuna kibaka mmoja kaiba simu yangu jana usiku ila bado anaitumia. Kwa bahati nzuri simu ina PIN sema anaweza kuiflash.
Tatizo tukiipiga namba inapokelewa na mtu anajifanya kauziwa hiyo simu na aliyemuuzia anamjua, tatizo tukimwambia tuonane atupeleke kwa huyo aliyemuuzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.