wizi wa simu

  1. Askari Polisi asakwa kwa mauaji ya mtuhumiwa wa Wizi wa Simu

    Jeshi la polisi mkoani Iringa linamsaka Askari wa Jeshi hilo aliyefahamika kwa jina la Sajenti Rogers wa Kituo cha Polisi Ipogolo na Askari wa jeshi la Akiba aitwaye Thomas Mkembela kwa tuhuma za kumuua Nashon Kiyeyeu mwenye umri wa miaka 23, Mkazi wa Nyamuhanga, Manispaa ya Iringa aliyekuwa...
  2. Ilikuwaje ukaibiwa simu??

    Habari zenu, Nimeanzisha huu uzi ili kupata experience ya kutunza simu zetu zisiibiwe, kama umewahi kuibiwa unaweza kutuambia ilikuwaje!
  3. Vijana 2 wachomwa moto kwa madai ya wizi wa simu Arusha

    Vijana wawili ambao majina yao hayajafahamika wamechomwa moto wao na pikipiki waliyokuwa wakiitumia katika eneo la Shivaz katika kata ya Kaloleni Mkoani Arusha wakidaiwa kuiba simu Lilia Shayo amesema vijana hao walikuwa wamemuibia mwananchi mmoja simu na wakati wanakimbia walizuiwa na wananchi...
  4. Polisi kutohangaikia wizi wa simu

    Ninaomba kufahamu jambo kidogo kwanza Serikali iliamua kudhibiti simu fake ambazo walidai zinakuwa na IMEI zaidi ya moja na rahisi kubadilisha IMEI wakati wa kuifuatilia ajabu ni kwamba inakuwa kazi kwa sasa wao Polisi kushughulikia simu zinazoibiwa licha ya kuwa mtu anakuwa na IMEI na nyaraka...
  5. R

    Jinsi ya kuilinda simu yako inapoibwa

    Ikiwa miaka michache iliyopita, kuwa na simu yako kuibiwa tayari ilikuwa hasara ya kifedha, leo inaweza kuwa kubwa zaidi. Teknolojia inapoimarika - na pia ujuzi wa wahalifu - upotezaji wa kifaa unaweza kuwa hasara ndogo ikilinganishwa na kile genge linaweza kufanya ikiwa wana ufikiaji wa hati...
  6. Wizi wa laptop na simu ndani ya mabasi Morogoro

    Kumekua na wizi wa laptop na simu ndani ya mabasi pale Morogoro pindi watu wakishuka kwenda kutafuta chakula. Mara nyingi hutokea kwa mabasi yanayopita muda wa jioni, zaidi hutokea kwa mabasi yanayotoka Dodoma. Nimeona sio vizuri kutaja aina ya mabasi hayo. Nini kifanyike kupunguza kero kama hiyo?
  7. Napendekeza simu zenye thamani ya zaidi ya milioni 1 zisajiliwe TRA na zipewe kadi kama za gari, hii itapunguza wizi wa simu

    Kadi iwe na jina la mmiliki na taarifa zake zingine zote, na sehemu ya details ijazwe taarifa muhimu za simu kama IMEI, model, make, color na specification zingine zote. Pia pajazwe number of previous owners nk. nk. Endapo simu itapotea au kuibiwa, by default, systems za TRA ziwe na built in...
  8. IGP Sirro: Kinondoni inaongoza kwa uhalifu hapa nchini

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ameutaja mkoa wa Kipolisi wa kinondoni kama kinara wa uhalifu nchini ambapo matukio ya uporaji, uvunjaji wa kutumia nguvu na uporaji kwa kutumia pikipiki yakiwa yameongezeka huku uhalifu mwingine mkubwa wa kutumia silaha za moto ukiwa umeshuka...
  9. Fahamu usiyoyajua kuhusu Imei namba ya simu yako

    IMEI NUMBER NI NINI? IMEI ni kifupi cha " International Mobile Equipment Identity". Hii ni number ambayo inatumiwa kukitambua na kutofautisha vifaa ambavyo vinatumia cellular network. Cellular network ni network ambayo unatumia kupiga simu au kuunganishwa na internet. Kwa simu zenye sim card...
  10. WIZI WA SIMU

    Habari wakuu! Kuna kibaka mmoja kaiba simu yangu jana usiku ila bado anaitumia. Kwa bahati nzuri simu ina PIN sema anaweza kuiflash. Tatizo tukiipiga namba inapokelewa na mtu anajifanya kauziwa hiyo simu na aliyemuuzia anamjua, tatizo tukimwambia tuonane atupeleke kwa huyo aliyemuuzia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…