Habari zenu watanzania wenzangu, nawaomba msishtushwe na kichwa Cha habari nilichoweka hapo juu.mnaweza mkajiuliza "huyu anataka kusemaje tena?"😂 Au "muhuni au mwizi amefikaje kwenye jukwaa hili la stories of change"?
Twendeni kwa pamoja ili kujua NI kwa namna gani hili linaweza kuwa mkombozi...