Mji wa Same ni mdogo sana ila inashangaza ndani ya wiki tatu zilizopita zimeibiwa TV nyingi sana, je, zinakwenda wapi? Au zinauzwa wapi?
Maeneo ya Sterling na Stesheni kwa mfano zimeibiwa TV nne kwa siku moja, hii sio kawaida. Polisi hebu fuatilieni zinakopelekwa? Au kama hazijatoka Same...