Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia binti mwenye umri wa miaka 16, aliyefahamika kwa jina la Maduki Sabuni mkazi wa Imalanguzo Ushirombo mkoani Geita kwa tuhuma za wizi wa mtoto wa miezi 9 mkazi wa Manzese Manispaa ya Kahama.
Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP. Janeth Magomi amesema...