Kiukweli hata mimi huwa ninaogopa baadhi ya mambo yakinisibu, lakini huwa najipa Moyo kuwa yatapita tu.
Hata Liwe Jambo kubwa kiasi gani najipa moyo mwenyewe tu kuwa nitatoboa tu.
Na mara nyingi nikiwa na Changamoto huwa natumia muda wangu kubuni buni vitu vipya, kufanya kazi, kujitoa kidogo...